kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,075
Acha roho mbaya kwa wenzioShanga avae mtoto mwembamba slim flani hivi au yeyote mwenye umbo la kati sio mnene sio mwembamba ndio zinanoga sio ukute jitu bongeeee halafu linavaa shanga,inakuaga kama mzigo wakuni uliofungwa kamba unasubiri kubebwa.
Ila wee dea nae lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni urembo unaotuhamasisha wapenzi wenu, na hasa tukiwa tunashika kiuno chenye shanga au cheni pale kikiwa kinanesa nesa hamu/mzuka ndio unazidi.
Tobaaaaaaaaah lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shanga avae mtoto mwembamba slim flani hivi au yeyote mwenye umbo la kati sio mnene sio mwembamba ndio zinanoga sio ukute jitu bongeeee halafu linavaa shanga,inakuaga kama mzigo wakuni uliofungwa kamba unasubiri kubebwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shanga avae mtoto mwembamba slim flani hivi au yeyote mwenye umbo la kati sio mnene sio mwembamba ndio zinanoga sio ukute jitu bongeeee halafu linavaa shanga,inakuaga kama mzigo wakuni uliofungwa kamba unasubiri kubebwa.
kaniacha hoi balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbinguni huendi Zaituni.
Tanzania Ni Tajiri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....Bado nafanya utafiti...sijafikia conclusion.
Je, hizi shanga na chain za kiunoni kazi Yake Nini hasa..au Ni urembo TU..
Je, zikivaliwa huwa zinahamasisha Jinsia me?..
Chanjo ishaanza kufanya kazi mwilini...🙄duh!!!View attachment 1871282
Zifuatazo ni sababu,umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga za kiunoni wakati wa wa tendo la ndoa;
1.UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO.
Kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongezeka mvuto, sio tu kwa wanaume hata kwa wanawake pia.Kama unavyoona picha ya hapo juu huyo dada kiuno chake kilivyopendeza,hata chako kitapendeza pia.