Naomba kufahamu kuhusu 2006 Suzuki Escudo 2.7xs

Naomba kufahamu kuhusu 2006 Suzuki Escudo 2.7xs

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
8,323
Reaction score
18,051
Habarini wanajamvi.

Naomba kwa wanaoifahamu na wenye experience na hii gari wanipe maoni yao kuihusu. Maana nataka nifanye maamuzi magumu ila bado sijapata user experience ya watumiaji wa hapa Tanzania.

1691600395039.jpg
 
Tuwasiliane. Iko njema sana mkuu. Nakuachia mkwaju huo. Hii ni customized S kubwa iko na snorkel na mbele iko na puller machine iron man ni ya kibabe
 
Habarini wanajamvi.

Naomba kwa wanaoifahamu na wenye experience na hii gari wanipe maoni yao kuihusu. Maana nataka nifanye maamuzi magumu ila bado sijapata user experience ya watumiaji wa hapa Tanzania.

View attachment 2712919
Kwa safari ndefu mafuta inatumia vizuri,ndani ya mji inakunywa,inaitakiwa fundi anayezijua kosa kidogo injini na gearbox zinakufa, alafu vitu vyake gharama injini ilala inasimama 8m
 
Kwa safari ndefu mafuta inatumia vizuri,ndani ya mji inakunywa,inaitakiwa fundi anayezijua kosa kidogo injini na gearbox zinakufa, alafu vitu vyake gharama injini ilala inasimama 8m
Khaaaaaah 8 milioni?
 
Khaaaaaah 8 milioni?
Usishtuke mkuu sio bei hiyo. Ni gari inahitaji matunzo. Service lazima ufanye kwa usahihi na kuweka vimiminika sahihi. Sio oil za arusha njiro. Engine naWeka total quatz 5w 30 Gear box unaweka transmission fluid T-IV ya toyota. Na huwa sibadili vimiminika. Air filter badili kila service 2. Au hakikisha ni safi kila wakati. Inatumia sana upepo. Mashine ni kiboko Hazisumbui kwa maana ya kuharibika hovyo. Pata ambayo ni 4wd. Suspension iko Sawa sana. Kwa safari ndefu ni nzuri sana. Ina nafasi ya kutosha sana ndani buti kubwa ya kuweka mizigo. Ac yake iko njema sana. Sio zile za kujaza jaza gesi. Ikiwa unamatumizi makubwa na upo mjini unaweza ku combine na Gesi asilia sehemu kuweka mitungi ni ya kutosha.
 
Hu

Huna jeuri ya kumiliki gari,kuna uzi wako humu unatafuta kazi yoyote tu,we ulizia bei ya bodaboda
Utakuwa umenichanganya sijui na nani leta huo uzi hapa link yake kama ushahidi, ukiweza kuprove hiyo nakupatia elfu 50 kama samahani kwa kukuita muongo.

Sasa hivi i dare u ulete huo uzi hapa na ushuhuda wa comment yangu.
 
Back
Top Bottom