Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Mgonjwa akitumia ARV kuanzia miezi mitatu inasemekana Hawezi tena kuambukiza kwenda kwa mwingine na hii inatokana na ARV kufubaza Virusu vya Ukimwi(VVU) na ndio Maana Cd4(Kinga ya Mwili) inaonekana Kupanda Over.Naomba kufahamishwa kwamba ni kweli mgonjwa akisha anza kutumia ARV hawezi kuambukiza ugonjwa?? Kuna jamaa hapa mtaani kaathirika ila anatumia ARV kwa muda na ukimuona afya yake iko imara. Shida huyu jamaa anatembea na watoto wadogo wadogo ila nasikia kwamba sababu anatumia ARV basi hawezi kuambukiza? Je hili ni kweli?
Kama umefanya mapenzi na mzee wa kifurushi cha maisha pasipo kutumia kinga nenda tu na wewe kajiunge na kifurushi cha maisha.Naomba kufahamishwa kwamba ni kweli mgonjwa akisha anza kutumia ARV hawezi kuambukiza ugonjwa?? Kuna jamaa hapa mtaani kaathirika ila anatumia ARV kwa muda na ukimuona afya yake iko imara. Shida huyu jamaa anatembea na watoto wadogo wadogo ila nasikia kwamba sababu anatumia ARV basi hawezi kuambukiza? Je hili ni kweli?
Hivi hakuna sheria za kuwabana watu wanaotumia mbaazi kuambikiza watoto wadogo ukimwi kimakusudi?
Wanatumia mbaazi kivipi, sijaelewa hapaHivi hakuna sheria za kuwabana watu wanaotumia mbaazi kuambikiza watoto wadogo ukimwi kimakusudi?
Kama anatumia ARV vizuri viral load yake itakuwa ipo chini na ni kweli uwezekano wa kuambukiza unaondoka kwa asilimia nyingi..ndo maana watu wanahimizwa kutumia ARV vizuri.
Lakini hili pia halihalalishi jamaa kugegeda hao watoto mtaani kiholelea kama anavyofanya
Hivi hakuna sheria za kuwabana watu wanaotumia mbaazi kuambikiza watoto wadogo ukimwi kimakusudi?