Naomba kufahamu kuhusu biashara ya maziwa mtindi pamoja na soko lake

Cleverman324

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
389
Reaction score
631
Habari wanajamvi..leo nimependa kuangazia biashara ya maziwa ya mgando..mm ni msakatonge ninaejipatia rizki kwenye biashara ndogondogo ila ningependa kupata maarifa zaidi juu ya masoko ya mtindi..kwani nimekuwa nikiuza kwa kutembeza mitaani. Hivyo ningependa kujua soko la maofisini na kwingineko ili kukuza biashara
 
Mh heading na content Ni tofauti kabisa
 
Kila kitu kina lipa ukikifanya kwa moyo wote na kwa weledi na nidhamu ya hali ya juu
Ahsante sana mkuku nimekuwa nikiuza lita 20 mpaka 25 kwa siku..hasa maeneo ya vikindu mpaka toangoma. Hivyo natamani kufikia lita 50 kwa siku.nifanye nini kuweza kukuza soko. Nalenga watu wa mjini
 
Reactions: amu
Maziwa yako unauza bei gani kwa lita mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…