Cleverman324
JF-Expert Member
- Nov 17, 2018
- 389
- 631
Habari wanajamvi..leo nimependa kuangazia biashara ya maziwa ya mgando..mm ni msakatonge ninaejipatia rizki kwenye biashara ndogondogo ila ningependa kupata maarifa zaidi juu ya masoko ya mtindi..kwani nimekuwa nikiuza kwa kutembeza mitaani. Hivyo ningependa kujua soko la maofisini na kwingineko ili kukuza biashara