Naomba kufahamu kuhusu Cheti Cha form four

Naomba kufahamu kuhusu Cheti Cha form four

kindili kindili

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
242
Reaction score
54
Wakuu wa kaya naombeni kuuliza, hivi cheti cha form four kinatolewa mwisho kwa marks ngapi? au as long as umemaliza unapata?
Nisaidieni nina mdogo wangu binamu alimaliza 2013 alipata div IV 35, Je! anaweza kupata cheti?

Yupo kijijini kakata tamaa...nataka kumsaidia, pia mkinisaidia nianzie wapi kwenye kumpa msaada wa kielimu au ajira au chochote ila apate cha kufanya kwanza.
 
Div 1 mpaka Div 4 wanapata vyeti.Afike kwenye shule aliyomalizia atapata cheti kwasababu vimeshatoka.
 
Back
Top Bottom