mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
hivi field ya ya mwaka wa pili (degree )hufanywa wakati gan wa likizo.
Kulikuwa na haja gani kuanzisha threads kwa silly questions?
Mwezi wa pili
Tukiwaendekeza sana hamchelewi kuja na story za mke wangu ana boyfriend, naomba ushauri....ni upuuzi jitu zima unaanzisha thread kwamba kituo cha daladala kimehamishwa kwa hiyo unaomba kushauriwa!ungeweza kukaa kimya tu kimya tu kama huna jibu mkuu na sio kukafishiana
Tukiwaendekeza sana hamchelewi kuja na story za mke wangu ana boyfriend, naomba ushauri....ni upuuzi jitu zima unaanzisha thread kwamba kituo cha daladala kimehamishwa kwa hiyo unaomba kushauriwa!
hapo ndo umemaliza mkuu??