naomba kufahamu kuhusu chuo cha muccobs

naomba kufahamu kuhusu chuo cha muccobs

ungeweza kukaa kimya tu kimya tu kama huna jibu mkuu na sio kukafishiana
Tukiwaendekeza sana hamchelewi kuja na story za mke wangu ana boyfriend, naomba ushauri....ni upuuzi jitu zima unaanzisha thread kwamba kituo cha daladala kimehamishwa kwa hiyo unaomba kushauriwa!
 
Tukiwaendekeza sana hamchelewi kuja na story za mke wangu ana boyfriend, naomba ushauri....ni upuuzi jitu zima unaanzisha thread kwamba kituo cha daladala kimehamishwa kwa hiyo unaomba kushauriwa!

hapo ndo umemaliza mkuu??
 
Yani kuanzia faculty yako, department yako, wanafunzi walio mbele yako,na wanafunzi wote unaosama nao umekosa jibu? Kweli wanachuo wa kusoma slide ni janga.
 
Back
Top Bottom