ASIKARI Member Joined Oct 17, 2012 Posts 92 Reaction score 22 Feb 25, 2015 #1 Habari wana forum wenzangu kuna ndugu yangu ametuma maombi ya kazi sehemu na ametakiwa kutuma CPSJT test. hajui wapi anaweza kupata huduma hii na kwa ufupi tu umuhimu wa CPSJT ivo msaada una hitajika. NAWASILISHA
Habari wana forum wenzangu kuna ndugu yangu ametuma maombi ya kazi sehemu na ametakiwa kutuma CPSJT test. hajui wapi anaweza kupata huduma hii na kwa ufupi tu umuhimu wa CPSJT ivo msaada una hitajika. NAWASILISHA