Naomba kufahamu kuhusu CPSJT test

Naomba kufahamu kuhusu CPSJT test

ASIKARI

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
92
Reaction score
22
Habari wana forum wenzangu kuna ndugu yangu ametuma maombi ya kazi sehemu na ametakiwa kutuma CPSJT test. hajui wapi anaweza kupata huduma hii na kwa ufupi tu umuhimu wa CPSJT ivo msaada una hitajika.

NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom