wakuu nahitaji kufahamu kwanin hz madawa wanayatengeneza za aina mbili ila zina kaz moja mfano malafin na mseto,,zote ni za malaria ila moja wanadai ina salfa na nyingne haina,,je kati ya dawa zenye salfa na zisizo na salfa zipi huwa ni nzuri zaidi?
nawasilisha