naomba kufahamu kuhusu dawa zenye salfa na zisizo na salfa na

hamisi nondo

Senior Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
192
Reaction score
172
wakuu nahitaji kufahamu kwanin hz madawa wanayatengeneza za aina mbili ila zina kaz moja mfano malafin na mseto,,zote ni za malaria ila moja wanadai ina salfa na nyingne haina,,je kati ya dawa zenye salfa na zisizo na salfa zipi huwa ni nzuri zaidi?

nawasilisha
 
Nielewavyo kuna watu wana allergy na sulphur, hivo izo ambazo hazina ni mahususi kwao
 
Back
Top Bottom