Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Veta unalipia laki 2 ya kozi na book 5 ya fomu unarudi chuo wanakupa fomu ya afya ukafanyiwe uchunguzi na TRA form unarudisha mambo mengine yanaendeleaSamahani ninaomba kuuliza utaratibu wa kujiunga chuo cha udereva unakuwaje?, coz kuna mtu alienda chuoni akaambiwa aende kulipia benk kabla hata ajapewa fomu ya kujiunga, na hata alipoomba fomu aliambiwa hawezi kupewa fomu kabla hajaenda kulipia benk hela ya mafunzo ya udereva, sasa sjui kuwa ndiyo inavyokuwa, ninaomba mnisaidie kunielewesha, na huwa ni shilingi kwa kozi ya miezi miwili.