Naomba kufahamu kuhusu driving Course pale NIT

Veta unalipia laki 2 ya kozi na book 5 ya fomu unarudi chuo wanakupa fomu ya afya ukafanyiwe uchunguzi na TRA form unarudisha mambo mengine yanaendelea
 
Huu Uzi ni wa mda kidogo ila najua ntajibiwa vizuri,nlisoma basic driving nikapata leseni ya magumash ambayo ni kubwa yaani c1, 2,3 ambayo iliisha nikarenew tena, sasa nataka Nika some PSV ikiwezekana c kavu nipate, je wataniruhusu nijiunge na kile chuo cha NIT wakati leseni yangu ni kubwa? Na VP wanaangalia leseni na cheti kabla ya kuanza mafunzo? Pia naomba kufaham Ada yake ipoje kwa sasa na ratiba Yao ya kupokea wanafunzi wa course mpya za driving, naomba kuwasilisha
 
Mkuu ulienda nit??
 
Mfano mtu ulipata leseni pasipo kwenda driving xul baada ya miaka kupita unaweza kwenda kusoma driving xul VETA hususani
 
Wakuu naomba majib sahh,
Nahitaj kwnda kusomea driving course *NIT* ambayo nikimaliza nitakua naweza nikapata licence class C zote na E coz nna class A and D ambayo nimerenew juzi Feb, 2019.
Je nn natkiw nfnye nmetmbelea tovut ya NIT lkn cjapata useful information zozote, na gharama za course kw ujumla pmoja na muda..
Course niliyolenga ni ile ambayo ita iwezesha kudrive gar za STL, DFP, DFPL, V8's [emoji4] etc wanaita cjui VIP na pia nna uzoef wa kutosha wa kuendesha Gar both Automatic and manuals transmission
Gar ndgo,Pickup, Trucks 113,94,124, iveco, yan kasoro bus tu ndio ctk kujua ksn cna malengo hayo..
Kw maana ajira nyng cku hz znatka mivyet kulko ujuzi..
Mwnye uelew plz aniongoze katk hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Vipi ulivyoenda veta ilikuwaje kuhusu vyeti,au nako ulipita njia za panya hadi kupata C
 
Nina Leseni Class "D" Ina mwaka mmoja chet cha udereva kipo.nataka nikaongeze daraja "E" je, inawezekena? Na nikasomee wapi NIT au VETA mwenye experience atujuze kidogo.
 
NIT huwez soma kwa kuwa hujatimiza vgezo,class D lesen iwe imekaa miaka 3 ndo unaweza pokewa,nenda veta kasomee psv utajaziwa E C1,C2 C3
Nina Leseni Class "D" Ina mwaka mmoja chet cha udereva kipo.nataka nikaongeze daraja "E" je, inawezekena? Na nikasomee wapi NIT au VETA mwenye experience atujuze kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo VIP course ni course gani na inalenga watu gani hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…