Niliambiwaga hyundai ni magari vimeo sana na spare parts zake ni gharama sana
wakati fulani UK,HYUNDAI walikuwa wanatoa 5 YRS UNLIMITED MILES WARRANTY kwa magari yao wakati makampuni mengi ikiwemo BMW,BENZ walikuwa wanatoa 3 YRS/60,000MILES WARRANTY.....nafikiri hii statement inaweza kukupa picha kuhusu hizo gari.....SANTA FE za kuanzia 2010 ni nzuri hata mimi nazipenda kwa muonekano wake,sijawahi kuziendesha.
kwamba ni vimeo?
Ongeza volumeAise nashukuruni kwa hayo na naweza sema kwa ufupi haya magari hayafai kwa matumizi hapa kwetu na hasa kama ni mwananchi wa hali ya kawaida.