Naomba kufahamu kuhusu gari aina ya Hyundai Santa fe

neno1

Senior Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
196
Reaction score
141
Wadau naomba mwenye uelewa wa aina hii ya magari aniambia ubora na udhaifu wake kwa matumizi ya Tanzania katika spear, service na ulaji wa mafuta.
Ni aina gani ya magari yaweza kuwa mbadala wake yaani iwe SUV 4x4 na pia si zaidi ya 2.00cc.
 
Niliambiwaga hyundai ni magari vimeo sana na spare parts zake ni gharama sana
 
wakati fulani UK,HYUNDAI walikuwa wanatoa 5 YRS UNLIMITED MILES WARRANTY kwa magari yao wakati makampuni mengi ikiwemo BMW,BENZ walikuwa wanatoa 3 YRS/60,000MILES WARRANTY.....nafikiri hii statement inaweza kukupa picha kuhusu hizo gari.....SANTA FE za kuanzia 2010 ni nzuri hata mimi nazipenda kwa muonekano wake,sijawahi kuziendesha.
 
kwamba ni vimeo?
 
Aise nashukuruni kwa hayo na naweza sema kwa ufupi haya magari hayafai kwa matumizi hapa kwetu na hasa kama ni mwananchi wa hali ya kawaida.
 
Back
Top Bottom