The Wisdom
Senior Member
- Oct 20, 2011
- 182
- 56
Heshima kwenu wakuu, natumaini kila mmoja wenu ni mzima!!
Kama Title inavyojieleza naomba kufahamu kuhusu hichi kipimo
Maana kuna Dr alinishauri kuwa nimpeleke wife baada kufanya vipimo kadhaa bila mafanikio (kupata mtoto)
Sasa kuna mengi nayasikia hasa Ke kupata maumivu makali
Lakini Mimi kikubwa kilichonileta hapa naomba kujua Faida na Hasara za HSG.
Natanguliza shukrani zangu kwa majibu yenu!!
Karibu MziziMkavu
Kwani hio procedure unafanyiwa bila kuwekwa kaputi????

ni procedure ndogo sana, haina maumivu yoyote zaid ya discomfort kidogo kwa mgonjwa.
Wanaweka contrast ktk mijira ya uzazi kwa kupitia shingo ya kizazi kwa kutumia kifaa maalum na lubricant kisha wanapiga picha ya X-ray kuonyesha mirija kama ina uvimbe au ipo sawa.
Inafanyika kwa usafi wa hali ya juu. Mfano kabla ya kufanyika inabidi mama awe amenyoa na kusafisha vizuri. Na madaktari nao wanakua ktk usafi na vifaa safi