The Wisdom
Senior Member
- Oct 20, 2011
- 182
- 56
Heshima kwenu wakuu, natumaini kila mmoja wenu ni mzima!
Kama Title inavyojieleza naomba kufahamu kuhusu hichi kipimo Maana kuna Dr alinishauri kuwa nimpeleke wife baada kufanya vipimo kadhaa bila mafanikio (kupata mtoto).
Sasa kuna mengi nayasikia hasa Ke kupata maumivu makali
Lakini Mimi kikubwa kilichonileta hapa naomba kujua Faida na Hasara za HSG.
Natanguliza shukrani zangu kwa majibu yenu!!