Naomba kufahamu kuhusu hii project ya HAAARP

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Salute comrades,

Wakuu napenda sana kufuatilia Dunia na maisha ya wanadamu ilipotoka, ilipo na inapoelekea (Past,present & Future events)

Sasa katika soma soma yangu kwenye vyanzo mbali mbali vya habari (Tv Channels, books,Social media etc) nikakuta hiki kitu kinaitwa HAAARP! Waku sijaweza kupata details in deep kuhusu hichi kitu.

Wenye Access ya mtandao wa DeepWeb, Wikileaks etc tunaomba msachi hiki kitu (naogopa kuingia kwenye hiyo mitandao kwa ajili ya usalama wangu).

Kwa ufupi nilichopata, HAAARP kwamba ni project inayofanywa na wakubwa wa ulimwengu kuleta majanga ya kimazingira kama Tsunami, Earthquake, Hurricane, Floods,Volcano etc. Kwamba pia ndio kinacho sababisha Japan Kuwa na natural calamities nyingi kama Tsunami na matetemeko.

Yote yanafanywa hivi ili iweje?
Kuna ukweli katika hili?
Nani yupo nyuma ya hili na kwa manufaa yapi?

Asateni!

Nyongeza!
Kwa anayependa kudadisi naomba usachi hili neno Itanimulli (Ni kinyune cha neno Illuninati)
NB. Ukisachi vitu hvyo epuka kutumia simu yako nenda Internet Cafe na hakikisha front camera imezibwa kwa usalama wako maana hiyo Itanimulli itakupeleka kwenye official web ya CIA.

Salute!
-Da'Vincio..
Cc.​
wick hearly Malcom Lumumba McMahoon zitto junior @Indundu Eiyer MSEZA MKULU mshana jr Apollo etc..
 
Mateteko yameanza Barani Asia na Marekani zaidi ya miaka 1000 iliyopita.
Sababu ni rahisi sana ule ukanda unakitu kinaitwa "The Ring of fire" ambapo sahani (Tectonic Plates) ya Pasikifi na Amerika kaskazini zinasigana sana. Upande mwingine wanasayansi wanasema sahani ya India na Ulaya-Asia (Eurasian) nazo zimepandana sana na zinasigana hivyo matetemeko ni mengi tu. Ndiyo maana kinachotokea Japan huwa kinatokea na baadhi ya sehemu za Marekani na visiwa vya Karibeani.

HAARP tumesikia habari zake nyingi sana,
Iliyonistua ni ile kudai kwamba jaribio lao moja lilienda vibaya na kusababisha yale madhara ya nchini Haiti.
Najua kila kitu kinawezekana chini ya jua maana kama watu wanatengeneza mvua za mabomu basi hata kucheza na hali ya hewa kwa dunia hii inawezekana pia. Japo, sidhani kama yale matetemeko ya Uchina, Japan na India chanzo ni Mataifa makubwa kama wanavyodai. Maana kama wangekuwa na uwezo wa kusababisha zile Tsunami na Katrina basi watu kama sisi huku Afrika tungekuwa tushafutiliwa mbali muda mrefu sana na wakaja kujichotea mali zao.
 
mkuu"" ngoja kwanza nikae ndio nianze kusoma hzi mambo vizuri

hayo mambo ndio huwa nayahitaji aisee
 
Mkuu Hebu elezea ilivyokua haiti ukipiga hesabu utajua mwaka 2010 nilikua wap...
Sifaham kabisa...
Maelfu ya watu
walipoteza makazi yao na mamia kupoteza maisha baada ya tetemeko la ardhi lenye nguvu za nyuzi 7.0 kutokea nchini Haiti mwaka 2010.

Hii nchi wanasema ina matukio ya kihistoria, natural calamities
maeneo ambayo
whites walijua before kuwa ni maeneo yenye natural calamities za kutosha kama Matetemeko, Floods na mengineyo hivyo siyo salama kwa ajili ya human settlements. Ndio maana Nchi ya Haiti ipo katikati ya Nchi za watu weupe lakini Haiti ni weusi tu, waliachiwa Ardhi yote hiyo baada ya biashara ya utumwa kukoma
 
Ahsante kwa kunishtua mada moto kama hii.... Ila kwa nilivyofuatilia huko nyuma HAARP ni utafiti wa anga za juu ndani ya dunia yetu ili waweze kugundua njia bora za kuwasiliana kwa teknolojia ya kisasa zaidi ingawa hilo ndilo tunaloambiwa na ila wajuaji wa mambo wanadai utafiti wa hapo si mchezo wanafanya utafiti jinsi gani wanaweza tengeneza silaha kupitia majanga ya kutengeneza mfano kutengeneza radi, matetemeko, vimbunga, upepo mkali n.k yaani kama wakiona north korea ni mtata wanaweza mtengenezea tetemeko la ardhi nchi nzima ikaathirika na vita ikaishia hapo!!!

Ngoja tusubiri wajuaji zaidi watiririke kina Malcolm Lumumba Eiyer na Indundu
 
Moderators naomba iende Jf intelligence hii post mpo slow sana ku Approve post (s)
===×===×==

Alafu hii issue sijui shida ni nini ukiweka nyuzi mpaka waipost inapita masiku hadi unasahau.... Kuna uzi nlikua nmeandaa kuhusu asili ya mtu mweusi duniani ....ulichukua kama wiki uko pending tu afu mwishoni wakaufuta dah iliniuma sana

Mods mnavunja moyo watu kuanzisha nyuzi jukwaa la intelligence.... Mbadilike
 
Mkuu hizi mambo na ile ya CERN zimejaa sana conspirancy theory mpaka niliamua kutoendelea nazo. Lakini nazani kinachoongelewa ndio kile kinachopatikana kwenye movie ya mwaka huu inaitwa GEOSTORM ambapo US government walitengeneza weather system wakaiplace dunia nzima then ikafika kipindi United Nations wakawa waaidemand iwe chini yao umiliki maana yenyewe ni matter manipulation ina maana ukiiactivate hata Jangwa la Namibia unaweza dondosha barafu pakageuka pote snow area. Au just imagine Alaska na Barafu ile panageuka Jangwa!.
Hiyo ndio ndio "Dutch Boy" jamaa waliokuwa wameipresent kwenye movie sasa kama itawezekana ina maana hakutakuwa na haja ya majeshi adui yako akisumbua unampelekea kimbunga kinasafisha nchi yote badae unatuma barafu wanaganda, simple!?[emoji2].
- wick
 
Kuna mada naiandaa Ikikamilika nadhani itakua bomba sana..
Bado nakusanya details... Eiyer kapote namis nondo zake
 
You were probably shocked to find out that the url itanimulli.com (itanimulli is the reverse spelling of illuminati) leads to the NSA government website NSA.gov. I will soon prove that this is only a prank (a funny one at that) conjured up by a Mr. John Fenley from Provo Utah. He is just a person, and does not work for the government. He does not believe in the illuminati or the new world order. This is just a prank, as it is very easy to buy a domain name and redirect it to another website. John Fenley is an american who also owns the website pontifier.com, and has a youtube channel called pontifier @ youtube.com/user/pontifier. He has actually admitted all of the above, that he doesn’t believe in the illuminati or new world order, and that it was all a stupid prank. You can read an email conversation that John had with Harry Thomas at snardfarker.ning.com/profiles/blogs/itanimullicom-ltlt-the-facts giving all the details of why he did it.

If you still don’t believe me, take this into consideration: You can look up the owner of almost any website through the WHOIS Search, Domain Name, Website, and IP Tools - Who.is service. The information for the site is below

This is the owner of ITANIMULLI.COM

Registrant:
John Fenley
1985N 360E
Provo, Utah 84604-1803
United States

Registered through: GoDaddy.com, Inc. (GoDaddy : Noms de Domaine, Sites Internet, Hébergeur Web)
Domain Name: ITANIMULLI.COM
Created on: 20-Nov-02
Expires on: 20-Nov-10
Last Updated on: 25-Nov-09

So now we can say for sure that itanimulli.com is a hoax because all government websites are hosted on private servers with IP’s registered on closed DNS servers, and godaddy is clearly a public domain name registrar.

Yet, after all that has been said it is still strange that the NSA still allows the link to their site after all these years.
 
Unabadir tu ID
====×====×==
So Hii Project nayo ni conspiracy kama Kutoboka ozone layer?
 



https://www.google.com/search?ei=QL...1j0i22i30k1j0i7i30k1j0i7i5i30k1.0.Lh7A3cy8McM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…