Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Salute comrades,
Wakuu napenda sana kufuatilia Dunia na maisha ya wanadamu ilipotoka, ilipo na inapoelekea (Past,present & Future events)
Sasa katika soma soma yangu kwenye vyanzo mbali mbali vya habari (Tv Channels, books,Social media etc) nikakuta hiki kitu kinaitwa HAAARP! Waku sijaweza kupata details in deep kuhusu hichi kitu.
Wenye Access ya mtandao wa DeepWeb, Wikileaks etc tunaomba msachi hiki kitu (naogopa kuingia kwenye hiyo mitandao kwa ajili ya usalama wangu).
Kwa ufupi nilichopata, HAAARP kwamba ni project inayofanywa na wakubwa wa ulimwengu kuleta majanga ya kimazingira kama Tsunami, Earthquake, Hurricane, Floods,Volcano etc. Kwamba pia ndio kinacho sababisha Japan Kuwa na natural calamities nyingi kama Tsunami na matetemeko.
Yote yanafanywa hivi ili iweje?
Kuna ukweli katika hili?
Nani yupo nyuma ya hili na kwa manufaa yapi?
Asateni!
Nyongeza!
Kwa anayependa kudadisi naomba usachi hili neno Itanimulli (Ni kinyune cha neno Illuninati)
NB. Ukisachi vitu hvyo epuka kutumia simu yako nenda Internet Cafe na hakikisha front camera imezibwa kwa usalama wako maana hiyo Itanimulli itakupeleka kwenye official web ya CIA.
Salute!

-Da'Vincio..
Cc.
wick hearly Malcom Lumumba McMahoon zitto junior @Indundu Eiyer MSEZA MKULU mshana jr Apollo etc..Cc.