Naomba kufahamu kuhusu hili !

Naomba kufahamu kuhusu hili !

Baba Parokoo

Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
60
Reaction score
17
Mwanamke au binti anayekaribia kuvunja ungo/kubalehe anapata madhara gani makubwa au yoyote kiafya kama akibakwa?

Naomba majibu yenye utu wana JF
 
Ngoja tumwite yule jamaa wa Malawi anayebikiri vibinti atupe majibu kulingana na uzoefu wake
 
Kwanza anaathirika kisaikolojia,pili anaweza kuambukizwa magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi,anaweza kuchanwa sehemu za siri au kuumizwa sehemu yeyote ya mwili na anaweza kupata mimba isiotarajiwa kama yai lake lilikuwa limefika siku ya kubalehe.
 
Na ikitokea amechanwa kisha akashonwa baade akiolewa kunaweza tokea shida yeyote mkuu?
 
Kama atakuwa ameshonwa vizuri hakutakuwa nashida yeyote.
 
Back
Top Bottom