SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
Kununua hisa bongo kwa huu uchumi wa viwanda ni kutafuta ugonjwa wa moyo.Members naomba kujua au kutathimini mwenendo wa bei ya hisa hizo za CRDB kwa angalau miezi 6 ijayo ili tuweze kufanya maamuzi sahihi mapema
tafadhali kwa yeyote mwenye uwelewa huo atusaidie
Kununua loca shares kwa uchumi huu wa kukodi jeshi la wananchi kusimama kwenye maduka ya kubadilishia fedha ni kijichimbia kaburi mwenyeweKununua hisa bongo kwa huu uchumi wa viwanda ni kutafuta ugonjwa wa moyo.
Mimi nataka nianze kununua hisa kwenye soko la hisa la newyork na UK. mainly hisa za tesla, facebook na makampuni mengine yenye akili huko majuu. Bongo hapana may be baada ya 2025.
Hiyo ni professional ya watu mkuu. Kama upo powa mitafute nikuelekeze jinsi ya ku-invest DSEMembers naomba kujua au kutathimini mwenendo wa bei ya hisa hizo za CRDB kwa angalau miezi 6 ijayo ili tuweze kufanya maamuzi sahihi mapema
tafadhali kwa yeyote mwenye uwelewa huo atusaidie
Unapesa za kununu shares za huko mambele lkn:Kununua hisa bongo kwa huu uchumi wa viwanda ni kutafuta ugonjwa wa moyo.
Mimi nataka nianze kununua hisa kwenye soko la hisa la newyork na UK. mainly hisa za tesla, facebook na makampuni mengine yenye akili huko majuu. Bongo hapana may be baada ya 2025.
Kununua hisa za kibongo ni kupoteza muda tu,fanya inshu zako nyingine tu boss.Members naomba kujua au kutathimini mwenendo wa bei ya hisa hizo za CRDB kwa angalau miezi 6 ijayo ili tuweze kufanya maamuzi sahihi mapema
tafadhali kwa yeyote mwenye uwelewa huo atusaidie
hata haiitaji mtaji mkubwa hivyo jombi sio bongo huku unanunua in hard way , na hisa za huko zina move ka upepo , invest vi ml vyako kwa broker ktk mt4 yako unapewa levarage ktk soko ml moja inasoma kumi nunua hisa zako wakati sahihi tenga kiwango cha hsara na profit enjoy , mfano hisa za GER30 kwa muda wa nusu siku profit kem kem kwa kubuy pia sio huku kutafuta mwenendo wa kampun mpaka uzunguke sana ila hukoo unachek tu chartUnapesa za kununu shares za huko mambele lkn:
Tesla's 1 share/price=$338
Na utahitaji minimum 100 shares so =100 shares×$338=$33800
Ambayo ni karibu Tsh mil 78.
Facebook's 1 share/price=$134
So,100 shares×$134=$13,400
Hizo ni Tsh.mil 31
Usilogwe kuwaza kununua hisa za Berkshire Hathaway Inc.
1 share/price=$316,300
Yani hisa 1 inauzwa Tsh. Mil 731
So kwa hisa 100 ni usd 316,000×100 shares=usd 31,600,000
Hizo ni Tsh. bil 73,sio mchezo
ngoja tusikilize wajuviMembers naomba kujua au kutathimini mwenendo wa bei ya hisa hizo za CRDB kwa angalau miezi 6 ijayo ili tuweze kufanya maamuzi sahihi mapema
tafadhali kwa yeyote mwenye uwelewa huo atusaidie
mkuu Upepo wa Pesa ogopa kabisa hisa za facebook hasa kipindi hiki..........Kununua hisa bongo kwa huu uchumi wa viwanda ni kutafuta ugonjwa wa moyo.
Mimi nataka nianze kununua hisa kwenye soko la hisa la newyork na UK. mainly hisa za tesla, facebook na makampuni mengine yenye akili huko majuu. Bongo hapana may be baada ya 2025.
inawezekana jamaa anataka kupunguza uzito......tutajuaje!!!!Kununua loca shares kwa uchumi huu wa kukodi jeshi la wananchi kusimama kwenye maduka ya kubadilishia fedha ni kijichimbia kaburi mwenyewe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kazi kweli kweliUnapesa za kununu shares za huko mambele lkn:
Tesla's 1 share/price=$338
Na utahitaji minimum 100 shares so =100 shares×$338=$33800
Ambayo ni karibu Tsh mil 78.
Facebook's 1 share/price=$134
So,100 shares×$134=$13,400
Hizo ni Tsh.mil 31
Usilogwe kuwaza kununua hisa za Berkshire Hathaway Inc.
1 share/price=$316,300
Yani hisa 1 inauzwa Tsh. Mil 731
So kwa hisa 100 ni usd 316,000×100 shares=usd 31,600,000
Hizo ni Tsh. bil 73,sio mchezo
mkuu tbl saizi wanakimbia soko, usifanye mchezo hasara nje nje............Inategemeana na malengo, muda, short term, medium term or long term
Wakati mzuri wa kuwekeza na kupata bei nzuri ni wakati wengine wanapokimbia inategemeana na kampuni mfano TBL haiwezi kufa kirahisi.
Facebook n Google ndo hutoingia hasara mkuuKununua hisa bongo kwa huu uchumi wa viwanda ni kutafuta ugonjwa wa moyo.
Mimi nataka nianze kununua hisa kwenye soko la hisa la newyork na UK. mainly hisa za tesla, facebook na makampuni mengine yenye akili huko majuu. Bongo hapana may be baada ya 2025.
Facthata haiitaji mtaji mkubwa hivyo jombi sio bongo huku unanunua in hard way , na hisa za huko zina move ka upepo , invest vi ml vyako kwa broker ktk mt4 yako unapewa levarage ktk soko ml moja inasoma kumi nunua hisa zako wakati sahihi tenga kiwango cha hsara na profit enjoy , mfano hisa za GER30 kwa muda wa nusu siku profit kem kem kwa kubuy pia sio huku kutafuta mwenendo wa kampun mpaka uzunguke sana ila hukoo unachek tu chart
mkuu kaa chini, tulia.......hata haiitaji mtaji mkubwa hivyo jombi sio bongo huku unanunua in hard way , na hisa za huko zina move ka upepo , invest vi ml vyako kwa broker ktk mt4 yako unapewa levarage ktk soko ml moja inasoma kumi nunua hisa zako wakati sahihi tenga kiwango cha hsara na profit enjoy , mfano hisa za GER30 kwa muda wa nusu siku profit kem kem kwa kubuy pia sio huku kutafuta mwenendo wa kampun mpaka uzunguke sana ila hukoo unachek tu chart
Uko vizuri sana bro maana hisa za hayo makampuni uliyoyataja hisa zake si chini ya $100Kununua hisa bongo kwa huu uchumi wa viwanda ni kutafuta ugonjwa wa moyo.
Mimi nataka nianze kununua hisa kwenye soko la hisa la newyork na UK. mainly hisa za tesla, facebook na makampuni mengine yenye akili huko majuu. Bongo hapana may be baada ya 2025.
Hao Berkshire wanajishughurisha na ishu gan kibiasharaUnapesa za kununu shares za huko mambele lkn: