Naomba kufahamu kuhusu hisa za CRDB

Naomba kufahamu kuhusu hisa za CRDB

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
115
Reaction score
66
Members naomba kujua au kutathimini mwenendo wa bei ya hisa hizo za CRDB kwa angalau miezi 6 ijayo ili tuweze kufanya maamuzi sahihi mapema
tafadhali kwa yeyote mwenye uwelewa huo atusaidie
 
Kununua hisa bongo kwa huu uchumi wa viwanda ni kutafuta ugonjwa wa moyo.

Mimi nataka nianze kununua hisa kwenye soko la hisa la newyork na UK. mainly hisa za tesla, facebook na makampuni mengine yenye akili huko majuu. Bongo hapana may be baada ya 2025.
 
Kununua loca shares kwa uchumi huu wa kukodi jeshi la wananchi kusimama kwenye maduka ya kubadilishia fedha ni kijichimbia kaburi mwenyewe
 
Unapesa za kununu shares za huko mambele lkn:

Tesla's 1 share/price=$338

Na utahitaji minimum 100 shares so =100 shares×$338=$33800

Ambayo ni karibu Tsh mil 78.

Facebook's 1 share/price=$134

So,100 shares×$134=$13,400

Hizo ni Tsh.mil 31

Usilogwe kuwaza kununua hisa za Berkshire Hathaway Inc.

1 share/price=$316,300

Yani hisa 1 inauzwa Tsh. Mil 731

So kwa hisa 100 ni usd 316,000×100 shares=usd 31,600,000

Hizo ni Tsh. bil 73,sio mchezo
 
Kununua hisa za kibongo ni kupoteza muda tu,fanya inshu zako nyingine tu boss.

By the way somo la hisa ni pana saana tena saana mkuu.
 
Inategemeana na malengo, muda, short term, medium term or long term

Wakati mzuri wa kuwekeza na kupata bei nzuri ni wakati wengine wanapokimbia inategemeana na kampuni mfano TBL haiwezi kufa kirahisi.
 
Unapesa za kununu shares za huko mambele lkn:

Tesla's 1 share/price=$338

Na utahitaji minimum 100 shares so =100 shares×$338=$33800

Ambayo ni karibu Tsh mil 78.

Facebook's 1 share/price=$134

So,100 shares×$134=$13,400

Hizo ni Tsh.mil 31

Usilogwe kuwaza kununua hisa za Berkshire Hathaway Inc.

1 share/price=$316,300

Yani hisa 1 inauzwa Tsh. Mil 731

So kwa hisa 100 ni usd 316,000×100 shares=usd 31,600,000

Hizo ni Tsh. bil 73,sio mchezo
hata haiitaji mtaji mkubwa hivyo jombi sio bongo huku unanunua in hard way , na hisa za huko zina move ka upepo , invest vi ml vyako kwa broker ktk mt4 yako unapewa levarage ktk soko ml moja inasoma kumi nunua hisa zako wakati sahihi tenga kiwango cha hsara na profit enjoy , mfano hisa za GER30 kwa muda wa nusu siku profit kem kem kwa kubuy pia sio huku kutafuta mwenendo wa kampun mpaka uzunguke sana ila hukoo unachek tu chart
 
Members naomba kujua au kutathimini mwenendo wa bei ya hisa hizo za CRDB kwa angalau miezi 6 ijayo ili tuweze kufanya maamuzi sahihi mapema
tafadhali kwa yeyote mwenye uwelewa huo atusaidie
ngoja tusikilize wajuvi
 
Kununua hisa bongo kwa huu uchumi wa viwanda ni kutafuta ugonjwa wa moyo.

Mimi nataka nianze kununua hisa kwenye soko la hisa la newyork na UK. mainly hisa za tesla, facebook na makampuni mengine yenye akili huko majuu. Bongo hapana may be baada ya 2025.
mkuu Upepo wa Pesa ogopa kabisa hisa za facebook hasa kipindi hiki..........

soma Upepo wa Pesa za facebook uone!
 
Kununua loca shares kwa uchumi huu wa kukodi jeshi la wananchi kusimama kwenye maduka ya kubadilishia fedha ni kijichimbia kaburi mwenyewe
inawezekana jamaa anataka kupunguza uzito......tutajuaje!!!!
 
Unapesa za kununu shares za huko mambele lkn:

Tesla's 1 share/price=$338

Na utahitaji minimum 100 shares so =100 shares×$338=$33800

Ambayo ni karibu Tsh mil 78.

Facebook's 1 share/price=$134

So,100 shares×$134=$13,400

Hizo ni Tsh.mil 31

Usilogwe kuwaza kununua hisa za Berkshire Hathaway Inc.

1 share/price=$316,300

Yani hisa 1 inauzwa Tsh. Mil 731

So kwa hisa 100 ni usd 316,000×100 shares=usd 31,600,000

Hizo ni Tsh. bil 73,sio mchezo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kazi kweli kweli
 
Kununua hisa bongo kwa huu uchumi wa viwanda ni kutafuta ugonjwa wa moyo.

Mimi nataka nianze kununua hisa kwenye soko la hisa la newyork na UK. mainly hisa za tesla, facebook na makampuni mengine yenye akili huko majuu. Bongo hapana may be baada ya 2025.
Facebook n Google ndo hutoingia hasara mkuu
 
hata haiitaji mtaji mkubwa hivyo jombi sio bongo huku unanunua in hard way , na hisa za huko zina move ka upepo , invest vi ml vyako kwa broker ktk mt4 yako unapewa levarage ktk soko ml moja inasoma kumi nunua hisa zako wakati sahihi tenga kiwango cha hsara na profit enjoy , mfano hisa za GER30 kwa muda wa nusu siku profit kem kem kwa kubuy pia sio huku kutafuta mwenendo wa kampun mpaka uzunguke sana ila hukoo unachek tu chart
Fact
 
mkuu kaa chini, tulia.......

kisha anza kutuelekeza kqa utaratibu vzuri
 
Kununua hisa bongo kwa huu uchumi wa viwanda ni kutafuta ugonjwa wa moyo.

Mimi nataka nianze kununua hisa kwenye soko la hisa la newyork na UK. mainly hisa za tesla, facebook na makampuni mengine yenye akili huko majuu. Bongo hapana may be baada ya 2025.
Uko vizuri sana bro maana hisa za hayo makampuni uliyoyataja hisa zake si chini ya $100
 
Na mawakala wa kununua izo Hisa kwa apa Tanzania sijui ukoje? Mwenye kujua hatueleze. Maana Jamii Forum ni shule kubwa sana
 
Unapesa za kununu shares za huko mambele lkn:

Tesla's 1 share/price=$338

Na utahitaji minimum 100 shares so =100 shares×$338=$33800

Ambayo ni karibu Tsh mil 78.

Facebook's 1 share/price=$134

So,100 shares×$134=$13,400

Hizo ni Tsh.mil 31

Usilogwe kuwaza kununua hisa za Berkshire Hathaway Inc.

1 share/price=$316,300

Yani hisa 1 inauzwa Tsh. Mil 731

So kwa hisa 100 ni usd 316,000×100 shares=usd 31,600,000

Hizo ni Tsh. bil 73,sio mchezo
Hao Berkshire wanajishughurisha na ishu gan kibiashara
 
Back
Top Bottom