Hiyo fani nzuri.unakuwa Mteknolojia wa maabara.na kazi yako ni kuchukua vipimo na kupima magonjwa mbalimbali hospitaln.mfano Kupima malaria.typhoid na mengine mengi hata kuhesabu Blood cells.Abnormal cells.
Kwa Bugando applicatio fomu huwa Inapatikana kwenye website yao miezi ya nne ivi.
Kwa Muhimbili na vyuo vingine vya serikali nchini kote taarifa hupatikan website ya wizara.also kwenye zile "HEALTH ZONAL OFFICE"
na vyuo vingine vya binafc mfano KAM,KOLANDOTO,NKINGA