Naomba kufahamu Kuhusu medical laboratory

Naomba kufahamu Kuhusu medical laboratory

Joined
Feb 10, 2015
Posts
14
Reaction score
2
Mimi ni kijana niliemaliza kidato cha nne mwaka jana naomba mnisaidie nikisomea medical laboratory ninakuwa nani na kazi nitaomba sehemu gani nikimaliza kusoma
 
It Depends umeenda chuo gani but nakushauri uende vyuo vya serikali u ll start diploma level as unatokea form four.

Kazi mnapangiwa na serikali and utakuwa lab technician maabara itakuhusu.....

Check on MUHIMBILI, Bugando na KCMC
 
Asante matokeo yakitoka ndo nianze kuangalia vyuo vya serikali je vyuo binafsi havifai?
 
Inategemeana na bas zako broo! Arafu saiz kuna vyuo vingine vya private Lakin vimesajiriwa na nacte na upiga paper Kutoka serikalin na post moja moja
 
Matokeo yakitoka,we omba kote serikalin na private.kujiongezea nafas ya kuchaguliwa coz ni watu wengi wanaomba na ni competition.labda hapo selecyion zitakapo toka ndo utachagua mwenyewe in case umechaguliwa more than one college/institute/university.
 
Hiyo fani nzuri.unakuwa Mteknolojia wa maabara.na kazi yako ni kuchukua vipimo na kupima magonjwa mbalimbali hospitaln.mfano Kupima malaria.typhoid na mengine mengi hata kuhesabu Blood cells.Abnormal cells.

Kwa Bugando applicatio fomu huwa Inapatikana kwenye website yao miezi ya nne ivi.

Kwa Muhimbili na vyuo vingine vya serikali nchini kote taarifa hupatikan website ya wizara.also kwenye zile "HEALTH ZONAL OFFICE"

na vyuo vingine vya binafc mfano KAM,KOLANDOTO,NKINGA
 
Back
Top Bottom