kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,571
- 1,328
Habari wana JF naomba kufahamu kuhusu mikopo au ruzuku kwa wanafunzi wa diploma ya ualimu vyuo vya serikali mgawanyo wake unakua vipi.
Na kama ni boom linakua kiasi gani kwa siku nia yangu ni kutaka kujua namna gani naweza kuaford mahitaji ya chuo.
Na kama ni boom linakua kiasi gani kwa siku nia yangu ni kutaka kujua namna gani naweza kuaford mahitaji ya chuo.