Naomba kufahamu kuhusu mikopo kwa wanafunzi wa Diploma ya Ualimu

Naomba kufahamu kuhusu mikopo kwa wanafunzi wa Diploma ya Ualimu

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
Habari wana JF naomba kufahamu kuhusu mikopo au ruzuku kwa wanafunzi wa diploma ya ualimu vyuo vya serikali mgawanyo wake unakua vipi.

Na kama ni boom linakua kiasi gani kwa siku nia yangu ni kutaka kujua namna gani naweza kuaford mahitaji ya chuo.
 
Back
Top Bottom