kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,571 Reaction score 1,328 Feb 23, 2015 #1 Habari wana JF naomba kufahamu kuhusu mikopo au ruzuku kwa wanafunzi wa diploma ya ualimu vyuo vya serikali mgawanyo wake unakua vipi. Na kama ni boom linakua kiasi gani kwa siku nia yangu ni kutaka kujua namna gani naweza kuaford mahitaji ya chuo.
Habari wana JF naomba kufahamu kuhusu mikopo au ruzuku kwa wanafunzi wa diploma ya ualimu vyuo vya serikali mgawanyo wake unakua vipi. Na kama ni boom linakua kiasi gani kwa siku nia yangu ni kutaka kujua namna gani naweza kuaford mahitaji ya chuo.