kama hujui kaa kimya
kama hujui kaa kimya
cheti wanaweka mfukoni 290000, sta shahada wanalipwa 380000 na shahada 510000 hapo chama cha walimu na bodi bado hawajakata. wakikata atabaki ka 420000 kwa shahada.
Acha uwongo kwa scale zipi kama hujui unyamaze!! Mshahara unakuwa categorized kwa madaraja kama B,C, D...hadi H
Acha uwongo kwa scale zipi kama hujui unyamaze!! Mshahara unakuwa categorized kwa madaraja kama B,C, D...hadi H
now days mixhahara ya walim ni minono cheti sh 757500, diproma 996500 na digree sh 1385000 zote hizo ndo zakuanzia nawasilixha! By mwl
cheti wanaweka mfukoni 290000, sta shahada wanalipwa 380000 na shahada 510000 hapo chama cha walimu na bodi bado hawajakata. wakikata atabaki ka 420000 kwa shahada.
watu kama hamjui kaeni kimya. cheti tgts b 369000 , diploma tgts c 478000 na degree tgts d 589000 hiyo ni kwa mtu anayeanza kazi lakini ukikaa miaka miwili unapanda daraja
Mishahara ya walim inakuhusu nn wakat ww c mwalim?salale ni siri ya mwajiri na mwajiriwa .Subiri uwe mwl utajua!
Mshahara wa rais tunaujua in public,
Ila wa wewe mnyonywaji hutaki tuujue!
Well and good
Well said.