Naomba kufahamu kuhusu mishahara ya walimu

Naomba kufahamu kuhusu mishahara ya walimu

cheti wanaweka mfukoni 290000, sta shahada wanalipwa 380000 na shahada 510000 hapo chama cha walimu na bodi bado hawajakata. wakikata atabaki ka 420000 kwa shahada.
 
Mishahara ya walim inakuhusu nn wakat ww c mwalim?salale ni siri ya mwajiri na mwajiriwa.

Subiri uwe mwl utajua!
 
cheti wanaweka mfukoni 290000, sta shahada wanalipwa 380000 na shahada 510000 hapo chama cha walimu na bodi bado hawajakata. wakikata atabaki ka 420000 kwa shahada.

Acha uwongo kwa scale zipi kama hujui unyamaze!! Mshahara unakuwa categorized kwa madaraja kama B,C, D...hadi H
 
Acha uwongo kwa scale zipi kama hujui unyamaze!! Mshahara unakuwa categorized kwa madaraja kama B,C, D...hadi H

Tofauti yake ni kuwa ww umetaja kwa grade mwenzako kataja mshahara kamili. Tena take home

sijaona sababu ya kumpinga

inajulikana cheti anaanza na TGTS B.. Diploma TGTS C.. na degree TGTS D1
 
Acha uwongo kwa scale zipi kama hujui unyamaze!! Mshahara unakuwa categorized kwa madaraja kama B,C, D...hadi H

Yupo sahihi kabisa mkuu! Maana hapo kaelezea take home,

sio basic salary.
 
cheti wanaweka mfukoni 290000, sta shahada wanalipwa 380000 na shahada 510000 hapo chama cha walimu na bodi bado hawajakata. wakikata atabaki ka 420000 kwa shahada.

sio kweli
 
Watu kama hamjui kaeni kimya.

Cheti TGTS b 369000 ,

Diploma TGTS c 478000

Na Degree TGTS d 589000 hiyo ni kwa mtu anayeanza kazi lakini ukikaa miaka miwili unapanda daraja.
 
watu kama hamjui kaeni kimya. cheti tgts b 369000 , diploma tgts c 478000 na degree tgts d 589000 hiyo ni kwa mtu anayeanza kazi lakini ukikaa miaka miwili unapanda daraja

Hiyo degree ikishakatwa take home inakuwa sh ngapi?
 
instagramboy

Huna unachokijua usipotoshe umma kaa kimya..hiyo mishahara umeweka ni ya nchi gani...mimi ni mwalimu hakuna kitu kama hiyo.....ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze.....
 
Last edited by a moderator:
Well said.

Waalimu wakubaliane na hali kuwa wanalipwa kidogo vs wanafanya kazi kubwa vs wanacheleweshewa malipo yao kwa lazima (hakuna sababu za msingi za kuwacheleweshea malipo)

Hakuna mtu anamchukia mwalimu!!!!!

Ni serikali tu inawafanya uwanja wa kutulizia hasira zao!!!
 
Back
Top Bottom