Naomba kufahamu kuhusu mnada wa TRA wa mtandaoni

Naomba kufahamu kuhusu mnada wa TRA wa mtandaoni

BMWsimba

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
347
Reaction score
512
Huu mwaka natamani kununua gari, naomba kupata mwongoza wa minada ya TRA inayofanyika online, kuhusu kupata gari kama IST kwamba bei zake zinakuwaje, ubora wa magari yao, kodi, nk
 
Achana na shortcut zina gharama zake, tafuta hela uagize la kwako!
 
huu mwaka natamani kununua gari , naomba kupata mwongoza wa minada ya Tra inayofanyika online, kuhusu kupata gari kama ist kwamba bei zake zinakuwaje, ubora wa magari yao, kodi, nk
Huyo mdada yupoje.
 
Nakuja kuona mdada yupo mmebadilisha gia hewani
 
Unaenda kukagua Gari hapo mnadani. Unaenda siku ya mnada na unabid Hadi Bei yako. Ikiwa utashinda unalipwa na kuichukua
 
Back
Top Bottom