Wanajukwaa,kwa anayeifahamu shule ya Nia iliyopo Morogoro maeneo ya nane nane anijulishe taarifa hizi:-
1.shule imesajiliwa au ndio ipo kinagumashi?!
2.kiwango cha ufaulu kipoje kwa mitihani ya taifa(NECTA)
3.je shule inawalimu wakutosha?
Nitashukuru kwa taarifa zenu wandugu.