Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Nenda kwenye jukwaa la historia... Utapata majibu yako huko.Wakubwa Salaam,
Kama title inavyojieleza, napenda kujua historia ya huyu mwamba aliyetikisa kwa umwamba miaka ya nyuma yuko wapi kwa sasa? Alifariki? Lini? Akiwa na Umri gani?
Kama yupo ana umri gani sasa hivi?
Nakumbuka miaka ya nyuma alikula sana hela za maonyesho ya wazi na ya ndani, ilikuwa uwezo wake binafsi au kuna ziada?
NB: Nahisi huyu jamaa ni masalia ya wanefiliView attachment 1741503
Niliwahi kumuona akifanya show zake Nyarugusu Geita miaka hiyo wengi humu bado mnanyonya au bado mko katika viuno vya wazazi wenu (1986/7). Alikuwepo na mwingine power Geita lakini alishafariki .Wakubwa Salaam,
Kama title inavyojieleza, napenda kujua historia ya huyu mwamba aliyetikisa kwa umwamba miaka ya nyuma yuko wapi kwa sasa? Alifariki? Lini? Akiwa na Umri gani?
Kama yupo ana umri gani sasa hivi?
Nakumbuka miaka ya nyuma alikula sana hela za maonyesho ya wazi na ya ndani, ilikuwa uwezo wake binafsi au kuna ziada?
NB: Nahisi huyu jamaa ni masalia ya wanefiliView attachment 1741503
Una masihara sana😆😆Ndo huyo mwana aliyevaa "sketi" au?
[emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa na show yake moja, anawekewa jiwe kubwa sana kifuani, (sio Meko). Uzito tu wa like jiwe unakufanya upate korona na ukiwa umeacha kiasi kikubwa sana cha mboji sakafuni.
Akishawekewa jiwe hilo, hutafutwa mtu mwenye nguvu zake, Kisha huanza kulipiga na nyundo kubwa Sana.
Power Mabula alistaafu michezo yake baada ya kwenda Rukwa, sumbawanga, huko alipita mitaani akiwa juu ya Land Rover 109, akionyesha promo.
Kuna mtaa unaitwa Mazwi, akakuta mtoto wa miaka mitano analisukuma Scania na trela lake, akastaabu sana, akauliza baba yako Yuko wapi? Akajibiwa kaenda kuuleta mlima uleeeee, auweke jirani na nyumba yetu
😂😂😂😂😂✌️ pisi en lavu ..Alikuwa na show yake moja, anawekewa jiwe kubwa sana kifuani, (sio Meko). Uzito tu wa like jiwe unakufanya upate korona na ukiwa umeacha kiasi kikubwa sana cha mboji sakafuni.
Akishawekewa jiwe hilo, hutafutwa mtu mwenye nguvu zake, Kisha huanza kulipiga na nyundo kubwa Sana.
Power Mabula alistaafu michezo yake baada ya kwenda Rukwa, sumbawanga, huko alipita mitaani akiwa juu ya Land Rover 109, akionyesha promo.
Kuna mtaa unaitwa Mazwi, akakuta mtoto wa miaka mitano analisukuma Scania na trela lake, akastaabu sana, akauliza baba yako Yuko wapi? Akajibiwa kaenda kuuleta mlima uleeeee, auweke jirani na nyumba yetu
Bujibuji bana acha kamba mimi nimesoma jangwani primary school na mazwi secondary schoolAlikuwa na show yake moja, anawekewa jiwe kubwa sana kifuani, (sio Meko). Uzito tu wa like jiwe unakufanya upate korona na ukiwa umeacha kiasi kikubwa sana cha mboji sakafuni.
Akishawekewa jiwe hilo, hutafutwa mtu mwenye nguvu zake, Kisha huanza kulipiga na nyundo kubwa Sana.
Power Mabula alistaafu michezo yake baada ya kwenda Rukwa, sumbawanga, huko alipita mitaani akiwa juu ya Land Rover 109, akionyesha promo.
Kuna mtaa unaitwa Mazwi, akakuta mtoto wa miaka mitano analisukuma Scania na trela lake, akastaabu sana, akauliza baba yako Yuko wapi? Akajibiwa kaenda kuuleta mlima uleeeee, auweke jirani na nyumba yetu
[emoji23][emoji23][emoji23] heshima yako bujibujiAlikuwa na show yake moja, anawekewa jiwe kubwa sana kifuani, (sio Meko). Uzito tu wa like jiwe unakufanya upate korona na ukiwa umeacha kiasi kikubwa sana cha mboji sakafuni.
Akishawekewa jiwe hilo, hutafutwa mtu mwenye nguvu zake, Kisha huanza kulipiga na nyundo kubwa Sana.
Power Mabula alistaafu michezo yake baada ya kwenda Rukwa, sumbawanga, huko alipita mitaani akiwa juu ya Land Rover 109, akionyesha promo.
Kuna mtaa unaitwa Mazwi, akakuta mtoto wa miaka mitano analisukuma Scania na trela lake, akastaabu sana, akauliza baba yako Yuko wapi? Akajibiwa kaenda kuuleta mlima uleeeee, auweke jirani na nyumba yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah lolAlikuwa na show yake moja, anawekewa jiwe kubwa sana kifuani, (sio Meko). Uzito tu wa like jiwe unakufanya upate korona na ukiwa umeacha kiasi kikubwa sana cha mboji sakafuni.
Akishawekewa jiwe hilo, hutafutwa mtu mwenye nguvu zake, Kisha huanza kulipiga na nyundo kubwa Sana.
Power Mabula alistaafu michezo yake baada ya kwenda Rukwa, sumbawanga, huko alipita mitaani akiwa juu ya Land Rover 109, akionyesha promo.
Kuna mtaa unaitwa Mazwi, akakuta mtoto wa miaka mitano analisukuma Scania na trela lake, akastaabu sana, akauliza baba yako Yuko wapi? Akajibiwa kaenda kuuleta mlima uleeeee, auweke jirani na nyumba yetu
chaiAlikuwa na show yake moja, anawekewa jiwe kubwa sana kifuani, (sio Meko). Uzito tu wa like jiwe unakufanya upate korona na ukiwa umeacha kiasi kikubwa sana cha mboji sakafuni.