Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Wakubwa Salaam,
Kama title inavyojieleza, napenda kujua historia ya huyu mwamba aliyetikisa kwa umwamba miaka ya nyuma yuko wapi kwa sasa? Alifariki? Lini? Akiwa na Umri gani?
Kama yupo ana umri gani sasa hivi?
Nakumbuka miaka ya nyuma alikula sana hela za maonyesho ya wazi na ya ndani, ilikuwa uwezo wake binafsi au kuna ziada?
NB: Nahisi huyu jamaa ni masalia ya wanefili