Naomba kufahamu kuhusu Power Mabula

Ya kweli haya mkubwa?
 
Mkuu Mara ya mwisho kumuona Mimi iliikuwa miaka ya 2000's kama sijakosea,alikuwa kahama -shinyanga katika Kijiji cha Segese,hapo hakuwa tena akifanya viinimacho macho vyake,alikuwa ameokoka na anahubiri neno la bwana,hadi sasa Leo hii sijui yuko wapi
Shukrani kwa mchango wako bosi
 
Duh sawa
 
Sio hata mnefili mkuu. Kina great Khali tuwaitaje? Mimi na huu urefu wangu na mwili nikipiga vyuma naweza nikaonekana jitu kama makumazan
 
Daaah, we mzee muongo kinyama [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah wafipa shikamoni..
 
Inatakiwa hawa watueleze ngosha wa mwanza Nyani Ngabu SHIMBA YA BUYENZE ngosha
Eti yupo wapi power Mabula?
 
Acha bana mkuu.
Kai ni Body builder kama umemjua natumai unawajua pia Strong Man kama huwajui wafuatilie.

Strong man wana Size kubwa ya mwili kuliko Body builder na sifa ya kuwa Strong man uwe na mwili miraba 7 wakuzaliwa....Mabula mwili mkubwa kuzaliwa Kai ana mwili mdogo kuzaliwa kuijaza sana through ujazo wake unaenda na Dimension ya Anatomy ya mifupa yake.
 
Power Mabula kitambo sana,kweli kila zama na kitabu chake,
Alikua anaweka ubao kifuani kisha zinapita Pikipiki juu ya kifua chake,alikua akizuwia pikipiki kwa meno! Pikipiki inafungwa kamba kisha ile kamba yeye anaiuma na meno,alikua akizuwia gari mbili kwa wakati mmoja,gari inafunga kamba kisha ila kamba anaishika kwa mkono wa kushoto na gari ya pili kwa mkono wa kulia,gari zinapiga resi ila zipo pale pale!

Sijui hali hii aliiweza kutokana na mazoezi au alikua tu na nguvu za kuzaliwa nazo,inaweza kua ni Inborn talent.
 
daahh turudishie chenji manπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…