Naomba kufahamu kuhusu Power Mabula

Naomba kufahamu kuhusu Power Mabula

Alikuwa na show yake moja, anawekewa jiwe kubwa sana kifuani, (sio Meko). Uzito tu wa like jiwe unakufanya upate korona na ukiwa umeacha kiasi kikubwa sana cha mboji sakafuni.
Akishawekewa jiwe hilo, hutafutwa mtu mwenye nguvu zake, Kisha huanza kulipiga na nyundo kubwa Sana.
Power Mabula alistaafu michezo yake baada ya kwenda Rukwa, sumbawanga, huko alipita mitaani akiwa juu ya Land Rover 109, akionyesha promo.
Kuna mtaa unaitwa Mazwi, akakuta mtoto wa miaka mitano analisukuma Scania na trela lake, akastaabu sana, akauliza baba yako Yuko wapi? Akajibiwa kaenda kuuleta mlima uleeeee, auweke jirani na nyumba yetu
Ya kweli haya mkubwa?
 
Mkuu Mara ya mwisho kumuona Mimi iliikuwa miaka ya 2000's kama sijakosea,alikuwa kahama -shinyanga katika Kijiji cha Segese,hapo hakuwa tena akifanya viinimacho macho vyake,alikuwa ameokoka na anahubiri neno la bwana,hadi sasa Leo hii sijui yuko wapi
Shukrani kwa mchango wako bosi
 
mwishoni mwa miaka ya 90 aliwahi kufanya mahojiano na kituo kimoja cha television. sina hakika ni itv au dtv. alieleza historia yake kwa undani.

tembelea studio ya itv au dtv kaulize kuhusu power mabula. nahisi watakuwa na clip zake kwenye library zao.
Duh sawa
 
Wakubwa Salaam,
Kama title inavyojieleza, napenda kujua historia ya huyu mwamba aliyetikisa kwa umwamba miaka ya nyuma yuko wapi kwa sasa? Alifariki? Lini? Akiwa na Umri gani?
Kama yupo ana umri gani sasa hivi?

Nakumbuka miaka ya nyuma alikula sana hela za maonyesho ya wazi na ya ndani, ilikuwa uwezo wake binafsi au kuna ziada?

NB: Nahisi huyu jamaa ni masalia ya wanefiliView attachment 1741503
Sio hata mnefili mkuu. Kina great Khali tuwaitaje? Mimi na huu urefu wangu na mwili nikipiga vyuma naweza nikaonekana jitu kama makumazan
 
Alikuwa na show yake moja, anawekewa jiwe kubwa sana kifuani, (sio Meko). Uzito tu wa like jiwe unakufanya upate korona na ukiwa umeacha kiasi kikubwa sana cha mboji sakafuni.
Akishawekewa jiwe hilo, hutafutwa mtu mwenye nguvu zake, Kisha huanza kulipiga na nyundo kubwa Sana.
Power Mabula alistaafu michezo yake baada ya kwenda Rukwa, sumbawanga, huko alipita mitaani akiwa juu ya Land Rover 109, akionyesha promo.
Kuna mtaa unaitwa Mazwi, akakuta mtoto wa miaka mitano analisukuma Scania na trela lake, akastaabu sana, akauliza baba yako Yuko wapi? Akajibiwa kaenda kuuleta mlima uleeeee, auweke jirani na nyumba yetu
Daaah, we mzee muongo kinyama [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah wafipa shikamoni..
 
Wakubwa Salaam,
Kama title inavyojieleza, napenda kujua historia ya huyu mwamba aliyetikisa kwa umwamba miaka ya nyuma yuko wapi kwa sasa? Alifariki? Lini? Akiwa na Umri gani?
Kama yupo ana umri gani sasa hivi?

Nakumbuka miaka ya nyuma alikula sana hela za maonyesho ya wazi na ya ndani, ilikuwa uwezo wake binafsi au kuna ziada?

NB: Nahisi huyu jamaa ni masalia ya wanefiliView attachment 1741503
Inatakiwa hawa watueleze ngosha wa mwanza Nyani Ngabu SHIMBA YA BUYENZE ngosha
Eti yupo wapi power Mabula?
 
Acha bana mkuu.
Kai ni Body builder kama umemjua natumai unawajua pia Strong Man kama huwajui wafuatilie.

Strong man wana Size kubwa ya mwili kuliko Body builder na sifa ya kuwa Strong man uwe na mwili miraba 7 wakuzaliwa....Mabula mwili mkubwa kuzaliwa Kai ana mwili mdogo kuzaliwa kuijaza sana through ujazo wake unaenda na Dimension ya Anatomy ya mifupa yake.
 
Power Mabula kitambo sana,kweli kila zama na kitabu chake,
Alikua anaweka ubao kifuani kisha zinapita Pikipiki juu ya kifua chake,alikua akizuwia pikipiki kwa meno! Pikipiki inafungwa kamba kisha ile kamba yeye anaiuma na meno,alikua akizuwia gari mbili kwa wakati mmoja,gari inafunga kamba kisha ila kamba anaishika kwa mkono wa kushoto na gari ya pili kwa mkono wa kulia,gari zinapiga resi ila zipo pale pale!

Sijui hali hii aliiweza kutokana na mazoezi au alikua tu na nguvu za kuzaliwa nazo,inaweza kua ni Inborn talent.
 
Alikuwa na show yake moja, anawekewa jiwe kubwa sana kifuani, (sio Meko). Uzito tu wa like jiwe unakufanya upate korona na ukiwa umeacha kiasi kikubwa sana cha mboji sakafuni.
Akishawekewa jiwe hilo, hutafutwa mtu mwenye nguvu zake, Kisha huanza kulipiga na nyundo kubwa Sana.
Power Mabula alistaafu michezo yake baada ya kwenda Rukwa, sumbawanga, huko alipita mitaani akiwa juu ya Land Rover 109, akionyesha promo.
Kuna mtaa unaitwa Mazwi, akakuta mtoto wa miaka mitano analisukuma Scania na trela lake, akastaabu sana, akauliza baba yako Yuko wapi? Akajibiwa kaenda kuuleta mlima uleeeee, auweke jirani na nyumba yetu
daahh turudishie chenji man😂
 
Back
Top Bottom