Naomba kufahamu kuhusu Recycling glass

Naomba kufahamu kuhusu Recycling glass

Rasputin

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2018
Posts
557
Reaction score
685
Habarini wakuu,

Kwa wakazi wa jiji la DSM nadhani mtakuwa mnaelewa kuhusu ‘si-so’ or see saw. Sasa, nina wazo la kuanzisha plant ambayo inaweza ku-recycle products za chupa/glass, kama mnavyojua kuhusu attitude ya dunia kuhusiana na mazingira kwa sasa.

Je nnaweza pata mwongozo kutoka kwa watu wenye uzoefu na recycling???
 
Ngoja tusubiri waje kutupa muongozo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa ninavyofahamu mimi 'Si-So' ni bidhaa chakavu au sizotumika tena zenye asili ya Mabati, Sufuria, Aluminium na Aina zingine za vyuma vyepesi na sio bidhaa zitokanazo na Chupa/ glass kama ulivyoelezea.

Anyway, vuta kiti kabisa. Ungojee.
 
Habarini wakuu,

Kwa wakazi wa jiji la DSM nadhani mtakuwa mnaelewa kuhusu ‘si-so’ or see saw. Sasa, nina wazo la kuanzisha plant ambayo inaweza ku-recycle products za chupa/glass, kama mnavyojua kuhusu attitude ya dunia kuhusiana na mazingira kwa sasa.

Je nnaweza pata mwongozo kutoka kwa watu wenye uzoefu na recycling???
Waone https://zaidi.co.tz/ wanafanya glass recycling. Mimi natafuta patner wa kurecycle Chupa za MO Energy na zile za Azam...ambapo baada ya recycling unazalisha brush na mifagio kama interested tuwasiliane mkuu maana hizi chupa mpaka sasa akuna anaedeal nazo
 
Ifafanue zaidi mkuu naona kama ina sound good
Hizi Chupa za Mo Energy na Azam toka akuna kiwanda kinacho recycles hizi chupa. Kuna Mashine inauwezo wa kuchakata hizi chupa zikawa nyuzi na kutengeneza Brush na mifagio
06AB061C-3806-49D3-8F54-E00387FCD27E.jpeg

27E8E727-A4DB-4115-A87B-62DD73D69610.jpeg

7784D720-2E70-4614-AE86-CBAF08D4456B.jpeg

FF1C2C31-5B7A-4CCB-B208-EBB9BF6694AB.jpeg

89CAE7D5-B9A4-48E4-840B-1E0C5E0003F9.jpeg
 
Waone Zaidi Recyclers – Taka Ni Ajira wanafanya glass recycling. Mimi natafuta patner wa kurecycle Chupa za MO Energy na zile za Azam...ambapo baada ya recycling unazalisha brush na mifagio kama interested tuwasiliane mkuu maana hizi chupa mpaka sasa akuna anaedeal nazo
Soko lako unalijua? Hapo ndio pakuanzia.

Umeshajiuliza kwanini mpaka sasa hakuna anaye-recycle hizo chupa?
 
Habarini wakuu,

Kwa wakazi wa jiji la DSM nadhani mtakuwa mnaelewa kuhusu ‘si-so’ or see saw. Sasa, nina wazo la kuanzisha plant ambayo inaweza ku-recycle products za chupa/glass, kama mnavyojua kuhusu attitude ya dunia kuhusiana na mazingira kwa sasa.

Je nnaweza pata mwongozo kutoka kwa watu wenye uzoefu na recycling???
Rasputin project hii ulifikia wap?
 
Back
Top Bottom