Naomba kufahamu kuhusu Upgrade ya NURSING

Naomba kufahamu kuhusu Upgrade ya NURSING

Xhakaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
338
Reaction score
270
Habar wakuu ! Kuna rumours yakua mwaka huu hakutakua na full-time school admission kwa in-service nurses(EN) wanaotaka ku-upgrade, isipokua kutakua na distance learning tuu.

kwa mwenye ufafanuz juu ya suala hilo anisaidie manake linanivuruga sana
 
Back
Top Bottom