Naomba kufahamu kuhusu utaratibu wa kusajili kampuni yenye biashara nyingi

Izzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
553
Reaction score
1,144
Habari wanajukwaa,

Mimi naomba kufahamishwa jambo; kwa mfano ninahitaji kuanzisha kampuni ambayo itaitwa JIWE. Lakini malengo yangu hiyo kampuni ifanye biashara nyingi kwa jina hilo hilo la JIWE, isipokuwa labda kutakuwa na JIWE FOOD PRODUCTS, JIWE REAL ESTATE, JIWE EXPRESS n.k. (Naamini mmepata picha).

SWALI: Je, kisheria na kiutaratibu hapa Tanzania inaruhusiwa kufanya kitu kama hicho? Na kama ndio, utaratibu ukoje na ni zipi faida na hasara zake; ukilinganisha na utaratibu wa kawaida wa kusajili kila biashara na kampuni yake. Na kama kuna mbadala nitashukuru pia kushauriwa.

Naomba kuwasilisha.
 
Hongera sana kwa jitihada za kupambana.

Ushauri wa bure

Fungua Limited company,kwenye profile ya kampuni yako orodhesha hizo kazi zako zote.

Faida ni kwamba

Biashara zote zitasimamiwa na wakurugenzi walewale na Kodi utalipa moja tu ya kampuni.pia kuna room ya kuongeza biashara.

Hasara

-kibiashara kampuni lazima ijibrand kwa biashara maalum kwa hiyo kuna biashara humo ndani haitajulikana
-Siyo rahisi wakurugenzi wote siyo rahisi kuwa na interest kwa biashara zote.

-Kashifa ya biashara moja inachafua kampuni nzima hata biashara isiyo na kashifa.

-Biashara zingine zinaweza kufeli lakini utaendelea kuhesabiwa kama unazifanya kwa hiyo burden yake inabebwa na biashara inayofanya kazi
 
Asante mkuu, nimepata kitu hapa.
 
Back
Top Bottom