Izzi
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 553
- 1,144
Habari wanajukwaa,
Mimi naomba kufahamishwa jambo; kwa mfano ninahitaji kuanzisha kampuni ambayo itaitwa JIWE. Lakini malengo yangu hiyo kampuni ifanye biashara nyingi kwa jina hilo hilo la JIWE, isipokuwa labda kutakuwa na JIWE FOOD PRODUCTS, JIWE REAL ESTATE, JIWE EXPRESS n.k. (Naamini mmepata picha).
SWALI: Je, kisheria na kiutaratibu hapa Tanzania inaruhusiwa kufanya kitu kama hicho? Na kama ndio, utaratibu ukoje na ni zipi faida na hasara zake; ukilinganisha na utaratibu wa kawaida wa kusajili kila biashara na kampuni yake. Na kama kuna mbadala nitashukuru pia kushauriwa.
Naomba kuwasilisha.