Naomba kufahamu machache kuhusu Chuo cha SAUT Songea mkoa wa Ruvuma

Naomba kufahamu machache kuhusu Chuo cha SAUT Songea mkoa wa Ruvuma

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
1720366441257.jpeg

Kwa mliosoma chuo hiki cha SAUT kama "St Augustive" naomba kujua yafuatayo:

Je, Kimesajiliwa?
Je, Kinatoa course ya accountancy degree?

Nahitaji kuanza masomo ya account "degree". Nisije nikapoteza pesa na muda hapo maana vyuo vya mkoa wa Ruvuma sijawahi kuvielewa kabisa.
 
Sahivi sio SAUT, ni SOCAITE.

kilibadilishwa hiki, kwenye utawala wa Magu, kilikosa sifa ya kuwa chuo cha kati kwenye kozi husika walizokua wanatoa. Japo ni kwetu Songea, ila kwa pale hapanaa hakuna Elimu ni magumashii tyuuh.

Kwani hawatoi Degree pale. Hivyo hata usisumbuke.

Wanafunzi kutwa kuranda randa majengo na town kati, hakuna kitu palee, usipoteze muda wako.
 
Kwa mliosoma chuo hiki cha SAUT kama "St Augustive" naomba kujua yafuatayo:

Je, Kimesajiliwa?
Je, Kinatoa course ya accountancy degree?

Nahitaji kuanza masomo ya account "degree". Nisije nikapoteza pesa na muda hapo maana vyuo vya mkoa wa Ruvuma sijawahi kuvielewa kabisa.
Achana napo wanatoa vikozi uchwara vya stashahada na Astashahada na hawaiti Saut utaibiwa wanafunzi wengi wa kutoka Mbinga, kama upo kusini nenda Mtwara chuo cha Stella Maris
 
Back
Top Bottom