Naomba kufahamu namna ya kupata mkopo kwaajili ya biashara yangu

Joined
Nov 15, 2015
Posts
9
Reaction score
7
Salamu zenu wakubwa shikamoo

Mimi ni kijana ninae jitafuta sana

Naishi Mwanza najishughulisha na uchomeleaj, ila tatizo ni moja sisi hatukopesheki nahitaji mkopo wakuanzia laki saba. Nimeunda banda nifungue another plan ili niweze kupungunza ukali wa maisha ila je natoa wapi napataje?

Naomba ushauri wenu

IMG-20241221-WA0030.jpg
 
Una dhamana ambayo unaweza kuiweka rehani?
 
Ungekuwa unafanya biashara ya FMCG ningekupa mchongo wa kupata mkopo chap sana tena bila kuhitaji collateral yoyote.
 
Elezea tu kwa faida ya wengi
Kuna kampuni inaitwa Ramani Finance, wanatoa mikopo kwa distributors wa bidhaa za MFCG kama vile pombe, soda, maji, fuel and gas cement etc. Na mwombaji wa mkopo halazimiki kuweka dhamana yoyote ili kupata mkopo.
Kwa maelezo zaidi hii ni website yao Ramani
 
Kupata mkopo inabid uwe na dhamana walao gar, nyumba nk
Kipind unaendelea kujitafuta tengeneza dhamana taratibu nunua kiwanja , Jenga hata kibanda Cha room moja hata usipoezeka , nenda bank waambie naomba mkopo Nina biashara Iko sehemu fulan , watakagua na watahitaj waonyeshe dhamana .
 
Sasa mkuu kiwanja kabla ya ujenzi si kitazidi hiyo 700k anayotafuta, kwanini hiyo hela asiingize kwenye mtaji wake badala akaikope kwa gharama ya riba..!
 
Mkuu mim Niko nje ya mada nataka kujua uliletaga tatizo lako la kupata maumivu makali kwenye Figo wakati mkojo ukiwa umekubsn na hata kama mkojo haujakibsna vip ulifanikiwa kupima kujua tatizo ni nin na je ulipona maaana naminimuhanga nna tatizo kama ulilokua naga nalo ww
 
Kuna kampuni inaitwa Ramani Finance, wanatoa mikopo kwa distributors wa bidhaa za MFCG kama vile pombe, soda, maji, fuel and gas cement etc. Na mwombaji wa mkopo halazimiki kuweka dhamana yoyote ili kupata mkopo.
Kwa maelezo zaidi hii ni website yao Ramani
Mmh
 
Kupata mkopo inabid uwe na dhamana walao gar, nyumba nk
Kipind unaendelea kujitafuta tengeneza dhamana taratibu nunua kiwanja , Jenga hata kibanda Cha room moja hata usipoezeka , nenda bank waambie naomba mkopo Nina biashara Iko sehemu fulan , watakagua na watahitaj waonyeshe dhamana .
Inspiration......sasa hela ya kiwanja na kujenga si ndio hiyo hiyo laki 7?

Watz uwezo wetu wa kufikiri uko chini sana.
 
mkuu mimi niliko ilinitokea nikawa nahitaji pesa ya chap chap nikawa nahitaji kama milion mbili na sina kiwanja wala gariii ila nilifanikiwa kwa hawa wanajiita Asa tanzania nilikopa kama mfanyabishara.... kinachotakiwa ni tin ya biashara,leseni ya biashara na biashara yako haijalishi biashara yako ni kubwa kiasi gani...pia uwe na wadhanini watatu wawili wafanyabishara wenzako na mmoja toka serikalini....kiroho safi utapewa mpunga wako.mimi nilipewa 2mln nikarudisha 2 mln na laki tatu..so riba ni 28%.
 
300k/2000k ni asilimia 28?
 
Sasa mkuu kiwanja kabla ya ujenzi si kitazidi hiyo 700k anayotafuta, kwanini hiyo hela asiingize kwenye mtaji wake badala akaikope kwa gharama ya riba..!
unaona hee sasa niwe nayo alaf nlakope sina hyo ela mm nahitaji kupanua tu biashara
 
mkuu mimi niliko ilinitokea nikawa nahitaji pesa ya chap chap nikawa nahitaji kama milion mbili na sina kiwanja wala gariii ila nilifanikiwa kwa hawa wanajiita Asa tanzania nilikopa kama mfanyabishara.... kinachotakiwa ni tin ya biashara,leseni ya biashara na biashara yako haijalishi biashara yako ni kubwa kiasi gani...pia uwe na wadhanini watatu wawili wafanyabishara wenzako na mmoja toka serikalini....kiroho safi utapewa mpunga wako.mimi nilipewa 2mln nikarudisha 2 mln na laki tatu..so riba ni 28%.
sasa wee ndo umekuja na wazo zuuur sana mimi bhana nachomelea lkn nimeunda banda nahitaj kuuza mitumba sasa ela ya kuanzia sasa Tin na lessen

vinapatikana kwa utaratibu hupi
 
Ingekuwa Daresalaam ningekupa ila mwanza ntapata Shida Sana kwenye kudai endapo utazingua
 
Back
Top Bottom