William Mwita
Member
- Oct 29, 2023
- 96
- 74
Nahitaji mkopo nina kiwanja kama dhamana
Una dhamana ambayo unaweza kuiweka rehani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una dhamana ambayo unaweza kuiweka rehani?
Ulirudisha baada ya muda ganimkuu mimi niliko ilinitokea nikawa nahitaji pesa ya chap chap nikawa nahitaji kama milion mbili na sina kiwanja wala gariii ila nilifanikiwa kwa hawa wanajiita Asa tanzania nilikopa kama mfanyabishara.... kinachotakiwa ni tin ya biashara,leseni ya biashara na biashara yako haijalishi biashara yako ni kubwa kiasi gani...pia uwe na wadhanini watatu wawili wafanyabishara wenzako na mmoja toka serikalini....kiroho safi utapewa mpunga wako.mimi nilipewa 2mln nikarudisha 2 mln na laki tatu..so riba ni 28%.