benitus bonifas
Member
- Nov 15, 2015
- 9
- 7
Una dhamana ambayo unaweza kuiweka rehani?Salamu zenu wakubwa shikamoo
Mimi ni kijana ninae jitafuta sana
Naishi Mwanza najishughulisha na uchomeleaj, ila tatizo ni moja sisi hatukopesheki nahitaji mkopo wakuanzia laki saba. Nimeunda banda nifungue another plan ili niweze kupungunza ukali wa maisha ila je natoa wapi napataje?
Naomba ushauri wenu
Elezea tu kwa faida ya wengiUngekuwa unafanya biashara ya FMCG ningekupa mchongo wa kupata mkopo chap sana tena bila kuhitaji collateral yoyote.
Kuna kampuni inaitwa Ramani Finance, wanatoa mikopo kwa distributors wa bidhaa za MFCG kama vile pombe, soda, maji, fuel and gas cement etc. Na mwombaji wa mkopo halazimiki kuweka dhamana yoyote ili kupata mkopo.Elezea tu kwa faida ya wengi
Kupata mkopo inabid uwe na dhamana walao gar, nyumba nk
Kipind unaendelea kujitafuta tengeneza dhamana taratibu nunua kiwanja , Jenga hata kibanda Cha room moja hata usipoezeka , nenda bank waambie naomba mkopo Nina biashara Iko sehemu fulan , watakagua na watahitaj waonyeshe dhamana .
Mkuu mim Niko nje ya mada nataka kujua uliletaga tatizo lako la kupata maumivu makali kwenye Figo wakati mkojo ukiwa umekubsn na hata kama mkojo haujakibsna vip ulifanikiwa kupima kujua tatizo ni nin na je ulipona maaana naminimuhanga nna tatizo kama ulilokua naga nalo wwKupata mkopo inabid uwe na dhamana walao gar, nyumba nk
Kipind unaendelea kujitafuta tengeneza dhamana taratibu nunua kiwanja , Jenga hata kibanda Cha room moja hata usipoezeka , nenda bank waambie naomba mkopo Nina biashara Iko sehemu fulan , watakagua na watahitaj waonyeshe dhamana .
MmhKuna kampuni inaitwa Ramani Finance, wanatoa mikopo kwa distributors wa bidhaa za MFCG kama vile pombe, soda, maji, fuel and gas cement etc. Na mwombaji wa mkopo halazimiki kuweka dhamana yoyote ili kupata mkopo.
Kwa maelezo zaidi hii ni website yao Ramani
Inspiration......sasa hela ya kiwanja na kujenga si ndio hiyo hiyo laki 7?Kupata mkopo inabid uwe na dhamana walao gar, nyumba nk
Kipind unaendelea kujitafuta tengeneza dhamana taratibu nunua kiwanja , Jenga hata kibanda Cha room moja hata usipoezeka , nenda bank waambie naomba mkopo Nina biashara Iko sehemu fulan , watakagua na watahitaj waonyeshe dhamana .
300k/2000k ni asilimia 28?mkuu mimi niliko ilinitokea nikawa nahitaji pesa ya chap chap nikawa nahitaji kama milion mbili na sina kiwanja wala gariii ila nilifanikiwa kwa hawa wanajiita Asa tanzania nilikopa kama mfanyabishara.... kinachotakiwa ni tin ya biashara,leseni ya biashara na biashara yako haijalishi biashara yako ni kubwa kiasi gani...pia uwe na wadhanini watatu wawili wafanyabishara wenzako na mmoja toka serikalini....kiroho safi utapewa mpunga wako.mimi nilipewa 2mln nikarudisha 2 mln na laki tatu..so riba ni 28%.
Umepitia hiyo link?
unaona hee sasa niwe nayo alaf nlakope sina hyo ela mm nahitaji kupanua tu biasharaSasa mkuu kiwanja kabla ya ujenzi si kitazidi hiyo 700k anayotafuta, kwanini hiyo hela asiingize kwenye mtaji wake badala akaikope kwa gharama ya riba..!
sasa wee ndo umekuja na wazo zuuur sana mimi bhana nachomelea lkn nimeunda banda nahitaj kuuza mitumba sasa ela ya kuanzia sasa Tin na lessenmkuu mimi niliko ilinitokea nikawa nahitaji pesa ya chap chap nikawa nahitaji kama milion mbili na sina kiwanja wala gariii ila nilifanikiwa kwa hawa wanajiita Asa tanzania nilikopa kama mfanyabishara.... kinachotakiwa ni tin ya biashara,leseni ya biashara na biashara yako haijalishi biashara yako ni kubwa kiasi gani...pia uwe na wadhanini watatu wawili wafanyabishara wenzako na mmoja toka serikalini....kiroho safi utapewa mpunga wako.mimi nilipewa 2mln nikarudisha 2 mln na laki tatu..so riba ni 28%.
0756857448 naomba tuwasilianesasa wee ndo umekuja na wazo zuuur sana mimi bhana nachomelea lkn nimeunda banda nahitaj kuuza mitumba sasa ela ya kuanzia sasa Tin na lessen
vinapatikana kwa utaratibu hupi
hapana cnaUna dhamana ambayo unaweza kuiweka rehani?
Nipo dar es salaam nahitaji huo mkopo, nina kiwanja kama dhamanaIngekuwa Daresalaam ningekupa ila mwanza ntapata Shida Sana kwenye kudai endapo utazingua