mkuu mimi niliko ilinitokea nikawa nahitaji pesa ya chap chap nikawa nahitaji kama milion mbili na sina kiwanja wala gariii ila nilifanikiwa kwa hawa wanajiita Asa tanzania nilikopa kama mfanyabishara.... kinachotakiwa ni tin ya biashara,leseni ya biashara na biashara yako haijalishi biashara yako ni kubwa kiasi gani...pia uwe na wadhanini watatu wawili wafanyabishara wenzako na mmoja toka serikalini....kiroho safi utapewa mpunga wako.mimi nilipewa 2mln nikarudisha 2 mln na laki tatu..so riba ni 28%.