Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Nenda kwenye zone yako ya Nsfw chukiwa fomu maelezo mengine utayapata hapo.Wakuu..Mimi Sina mengi na Sio mtaalamu wa Sheria naomba kujua hizi pesa za michango yetu tunavokatwa na muajiri tunazipataje pataje?
Ahsanteni sana wakuu
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Unaambiwa njoo tarehe fulani Saa uko pale, unasota siku mzima saa 9 unaitwa jina unaambiwa Rudi tarehe fulani, Yani mpaka useme.
Yani Nssf ni Bora ingekuwa mtu akisubmit form wampe hata miezi 6 asubiri akiitwa ni kuchukuwa check tu na siyo huu upumbavu wanaofanyia watu.
ulisha fukuzwa kazi...?Wakuu..Mimi Sina mengi na Sio mtaalamu wa Sheria naomba kujua hizi pesa za michango yetu tunavokatwa na muajiri tunazipataje pataje?
Ahsanteni sana wakuu
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Mkataba umeisha na pia nimefukuzwa kaziulisha fukuzwa kazi...?
hizo pesa wanapewa watu walio fukuzwa kazi au ambao mikataba yao imeisha
Moja ya notable memory dogo mmoja aliwai kuibua swali Kwa wale watu wa hii mifuko walipo kuja kutoa darasa Kwa wanachama wapya akasema nanukuuNenda kwenye zone yako ya Nsfw chukiwa fomu maelezo mengine utayapata hapo.
Ila natanguliza kukupa pole Kwa nenda rudi utakazokumbana nazo ukiwa na roho ndogo unaweza kutandika mtu ngumi.
Unaambiwa njoo tarehe fulani Saa uko pale, unasota siku mzima saa 9 unaitwa jina unaambiwa Rudi tarehe fulani, Yani mpaka useme.
Yani Nssf ni Bora ingekuwa mtu akisubmit form wampe hata miezi 6 asubiri akiitwa ni kuchukuwa check tu na siyo huu upumbavu wanaofanyia watu.
Kumbe siku hizi wanatoa hela?wamejirekebisha...kikubwa atimize vigezo vyao tu...na kikubwa zaidi siku hizi ni wiki 1 tu ya kusubiri pesa ikizidi sana siku 9 baada ya kukusanya document zinazo hitajika mkwanja unaingia...!
NSS unayo zungumza wewe ni ile ya zamani...mimi na wenzangu tulifukuzwa kazi watu kama 300...na wote ndani ya wiki 2 tulipata mafao yetu...!
usumbufu wa kwenda na kurudi utaupata endapo ulifoji majina baadae wakigundua lazima utapata usumbufu...!
ulifoji tarehe au mwaka wa kuzaliwa utasumbuliwa...!
ila kama kila kitu chako kilinyooka huto pata usumbufu wowote...!
utakaa foleni 2 kwa siku tofauti tofauti.
foleni ya kwanza kwaajili ya kukusanya document ambazo watazikagua. baada ya hapo utaambiea urudi siku nyingine kwaajili ya Fingerprints. hatua hii ya Fingerprints ndio ya mwisho kisha atasubiri ndani ya wiki 1 au 2 pesa yake inaingia...!
Kumbe siku hizi wanatoa hela?
Maana si walianzisha kwamba kupewa hela mpaka miaka 55 au 60.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Ebwana kwa uelewa wangu Mwanachama atapata mafao yake endapo ataachishwa kazi kwa sababu yoyote ile isipo kuwa kuacha kazi yeye mwenyewe hapo atakuwa hana sifa ya kupata mafao, pili mwanachama atapata mafao yake endapo atafikisha umri wa kustaafu kwa hiari miaka 55-59 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima. Na ili uweze kupata mafao yako unatakiwa kuwa na kitambulisho chako cha uanachama, barua ya kuachichwa kazi, kitambulisho cha NIDA, uthibitisho kutoka Mahakamani, Akaunti ya benki ambayo ipo inafanya kazi pamoja na mambo mengine utaambiwa hapo.Wakuu,
Mimi Sina mengi na Sio mtaalamu wa Sheria naomba kujua hizi pesa za michango yetu tunavokatwa na muajiri tunazipataje pataje?
Ahsanteni sana wakuu
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Nssf popote pale.....! Nenda utahudumiwaJe, ni lazima kufuatilia madai yako tawi lile lile uliloandikishiwa uanachama?
Mfano nilikuwa Tabora sasa nipo Dar nahitaji kufuatilia madai yangu, nina mkataba wa kazi na barua ya kuachishwa kazi!
Kama kazi aliyokuwa anafanya siyo ya KITAALUMA.wamejirekebisha...kikubwa atimize vigezo vyao tu...na kikubwa zaidi siku hizi ni wiki 1 tu ya kusubiri pesa ikizidi sana siku 9 baada ya kukusanya document zinazo hitajika mkwanja unaingia...!
NSS unayo zungumza wewe ni ile ya zamani...mimi na wenzangu tulifukuzwa kazi watu kama 300...na wote ndani ya wiki 2 tulipata mafao yetu...!
usumbufu wa kwenda na kurudi utaupata endapo ulifoji majina baadae wakigundua lazima utapata usumbufu...!
ulifoji tarehe au mwaka wa kuzaliwa utasumbuliwa...!
ila kama kila kitu chako kilinyooka huto pata usumbufu wowote...!
utakaa foleni 2 kwa siku tofauti tofauti.
foleni ya kwanza kwaajili ya kukusanya document ambazo watazikagua. baada ya hapo utaambiea urudi siku nyingine kwaajili ya Fingerprints. hatua hii ya Fingerprints ndio ya mwisho kisha atasubiri ndani ya wiki 1 au 2 pesa yake inaingia...!
Mimi pia najua unafungulia popote ila uhakikishe kila kitu kipo sawaJe, ni lazima kufuatilia madai yako tawi lile lile uliloandikishiwa uanachama?
Mfano nilikuwa Tabora sasa nipo Dar nahitaji kufuatilia madai yangu, nina mkataba wa kazi na barua ya kuachishwa kazi!
Ulifungua madai wapi mkuu?pesa inatoka lakini kwa unprofessional jobs...zile kama za fani maalum sheria inafuata mkondo wake...kwa cheap labor mpunga anachukua vizuri...!
dar es salaam...tawi la kinondoni...ama UBUNGO PLAZA pale...na ilinichukua wiki moja na nusu tu kusubiriUlifungua madai wapi mkuu?
dar es salaam...tawi la kinondoni...ama UBUNGO PLAZA pale...na ilinichukua wiki moja na nusu tu kusubiril
Ulikua mradi wa ujenzi nini?dar es salaam...tawi la kinondoni...ama UBUNGO PLAZA pale...na ilinichukua wiki moja na nusu tu kusubiri