X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
hapana Rafiki yangu... nilikuwa kwenye kampuni ya ULINZA...!Ulikua mradi wa ujenzi nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana Rafiki yangu... nilikuwa kwenye kampuni ya ULINZA...!Ulikua mradi wa ujenzi nini?
Uthibitisho wa mahakama toa hiyo kitu haitakiwi,Ebwana kwa uelewa wangu Mwanachama atapata mafao yake endapo ataachishwa kazi kwa sababu yoyote ile isipo kuwa kuacha kazi yeye mwenyewe hapo atakuwa hana sifa ya kupata mafao, pili mwanachama atapata mafao yake endapo atafikisha umri wa kustaafu kwa hiari miaka 55-59 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima. Na ili uweze kupata mafao yako unatakiwa kuwa na kitambulisho chako cha uanachama, barua ya kuachichwa kazi, kitambulisho cha NIDA, uthibitisho kutoka Mahakamani, Akaunti ya benki ambayo ipo inafanya kazi pamoja na mambo mengine utaambiwa hapo.
Hakikisha una termination letter/End if contract na Certificate of service
Na kama una elimu yako ni certificateUthibitisho wa mahakama toa hiyo kitu haitakiwi,
Nakala zinazohitajika ni:
-Kitambulisho Cha NSSF
-Cheti Cha utumishi
-Barua ya kuachishwa kazi
-Kitambulisho/ namba ya NIDA
-Bank statement.
Baada ya hapo ndani ya wiki mbili atakuwa kashapata hela yake, Ila hili ni kwale wasio na taaluma maalum.
Mwenye jibu pleaseKwema wadau wa JF
Nina swali naomba msaada, hivi Nssf huwa wana tarehe maalum za malipo Yani 20 to 25 kwa kila mwezi au wanalipa siku yoyote provided umekamilisha kuwasilisha fomu kwao? Kwa uelewa wangu naona km wanalipa wiki ya 3 ya kila mwezi , je wanaweza lipa tarehe yoyote km 5, 7, 12 ndani ya mwezi kama umekidhi vigezo?
Asanteni