Naomba kufahamu namna ya kupata pesa ya NSSF baada ya kazi kuisha

Uthibitisho wa mahakama toa hiyo kitu haitakiwi,

Nakala zinazohitajika ni:
-Kitambulisho Cha NSSF
-Cheti Cha utumishi
-Barua ya kuachishwa kazi
-Kitambulisho/ namba ya NIDA
-Bank statement.

Baada ya hapo ndani ya wiki mbili atakuwa kashapata hela yake, Ila hili ni kwale wasio na taaluma maalum.
 
Na kama una elimu yako ni certificate
 
Kwema wadau wa JF
Nina swali naomba msaada, hivi Nssf huwa wana tarehe maalum za malipo Yani 20 to 25 kwa kila mwezi au wanalipa siku yoyote provided umekamilisha kuwasilisha fomu kwao? Kwa uelewa wangu naona km wanalipa wiki ya 3 ya kila mwezi , je wanaweza lipa tarehe yoyote km 5, 7, 12 ndani ya mwezi kama umekidhi vigezo?
Asanteni
 
Mwenye jibu please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…