kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Wewe umejuaje?Shirika la Etihad airways lilikuwa na safari za kuwaleta wageni Tanzania, je wamesitisha safari zake lini? Kwanini wamesitisha safari hizo?
Je, yapo mashirika yaliyositisha au kupunguza safari zake kuja Afrika Mashariki?
Kitambo sana, hakuna wateja wa kuteremkia Abu Dhabi.Shirika la Etihad airways lilikuwa na safari za kuwaleta wageni Tanzania, je wamesitisha safari zake lini? Kwanini wamesitisha safari hizo?
Je, yapo mashirika yaliyositisha au kupunguza safari zake kuja Afrika Mashariki?
Mwezi wa 10Shirika la Etihad airways lilikuwa na safari za kuwaleta wageni Tanzania, je wamesitisha safari zake lini? Kwanini wamesitisha safari hizo?
Je, yapo mashirika yaliyositisha au kupunguza safari zake kuja Afrika Mashariki?