Naomba kufahamu ni lini Etihad airways ilisitisha safari zake Tanzania?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Shirika la Etihad airways lilikuwa na safari za kuwaleta wageni Tanzania, je wamesitisha safari zake lini? Kwanini wamesitisha safari hizo?
Je, yapo mashirika yaliyositisha au kupunguza safari zake kuja Afrika Mashariki?
 
Wewe umejuaje?
 
Kitambo sana, hakuna wateja wa kuteremkia Abu Dhabi.
 
Kuanzia October 2018 inaishia Nairobi walitoaga na tangazo kabisa mkuu
 
Shirika la Etihad airways lilikuwa na safari za kuwaleta wageni Tanzania, je wamesitisha safari zake lini? Kwanini wamesitisha safari hizo?
Je, yapo mashirika yaliyositisha au kupunguza safari zake kuja Afrika Mashariki?
Mwezi wa 10
 
Back
Top Bottom